The Caring Hearts (CAHE) Organization participated in the 2025 Annual Non-Governmental Organizations (NGOs) Conference, held from 11th to 13th August 2025 at the Jakaya Kikwete Convention Centre. The conference brought together various stakeholders from NGOs, providing opportunities to exchange experiences, learn best practices in project implementation, and strengthen collaboration in the community development sector.
Taasisi ya Caring Hearts (CAHE) ilishiriki katika Kongamano la Mwaka la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali 2025, lililofanyika tarehe 11–13 Agosti 2025 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre. Kongamano hili liliwaleta pamoja wadau mbalimbali kutoka mashirika yasiyo ya kiserikali, likitoa fursa ya kubadilishana uzoefu, kujifunza mbinu bora za utekelezaji wa miradi, na kuimarisha ushirikiano katika sekta ya maendeleo ya jamii.




