ANNUAL NGO FORUM FOR THE YEAR 2022

Shirika la Caring Hearts (CAHE) lilikuwa ni miongoni mwa mashirika mwngi ambayo yalishiriki katika Mkutano wa Mashirika yasiyo ya Kiserikali (Annual NGO Forum 2022) ambao ulifanyikia katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete – Dodoma.