Mwezi Juni 2023 Shirika letu la Caring Hearts (CAHE) tulialikwa na kupata nafasi ya kushiriki katika Mkutano wa Mashirika yasiyo ya Kiserikali uliofanyika katika Ukumbi wa Manispaa ya Iringa.