USHIRIKI KATIKA MAFUNZO YA TEHAMA 2023

Mwezi Februari 2023 Shirika letu tulifanikiwa kushiriki katika Semina ya Tehama iliyofanyika katika Chuo Kikuu cha Mkwawa Iringa.