CARING HEARTS (CAHE) NON-GOVERNMENTAL ORGANIZATION attended a two-days training for grassroots human rights defenders and activists aimed at enhancing their capacity to undertake human rights protection and advocacy work effectively which was organized by Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC). CAHE was represented by Mr. Oswald Kikoti who is the Director of the Organization
The training was officially launched on April 29, 2024, by the National Coordinator of THRDC, Lawyer Onesmo Olengurumwa, and concluded on April 30th at the Flomi Hall in Morogoro region.
The training brought together approximately 35 activists from 9 regions of Tanzania, including Iringa, Njombe, Singida, Mbeya, Rukwa, Sumbawanga, Songwe, Morogoro and Dodoma.
Shirika lisilo la kiserikali la CARING HEARTS (CAHE) lilihudhuria mafunzo ya siku mbili kwa watetezi wa haki za binadamu na wanaharakati wa ngazi ya chini yenye lengo la kuwaongezea uwezo wa kufanya kazi za ulinzi na utetezi kwa ufanisi ambayo yaliandaliwa na Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC). CAHE iliwakilishwa na Bwana Oswald Kikoti ambaye ni Mkurugenzi wa Shirika hilo.
Mafunzo hayo yalizinduliwa rasmi Aprili 29, 2024, na Mratibu wa Taifa wa THRDC, Mwanasheria Onesmo Olengurumwa, na kuhitimishwa Aprili 30 katika Ukumbi wa Flomi mkoani Morogoro.
Mafunzo hayo yamewakutanisha takribani wanaharakati 35 kutoka mikoa 9 ya Tanzania, ikiwemo Iringa, Njombe, Singida, Mbeya, Rukwa, Sumbawanga, Songwe, Morogoro na Dodoma.


 
  
  
  
  
  
  
  
  
 