Katika kuunga mkono jitihada za serikali za kupinga ukatili, tunaungana na Watanzania wote katika Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia Tanzania.
Kauli Mbiu: Wekeza Kuzuia Ukatiki wa Kijinsia